Featured

    Featured Posts

v Ommy Dimpoz: Sikualikwa ‘Zari All White Party ila sina tatizo na Diamond


Kwa mujibu wa hitmaker huyo wa ‘Wanjera’, kunyimwa mwaliko wa kuhudhuria party hiyo hakumaanishi kuwa ana tatizo na Diamond.

Ommy alikuwa akihojiwa na kituo cha Radio 5 cha jijini Arusha weekend hii alipoulizwa kama amealikwa kwenye party hiyo.

I am not invited,” alisema. “Lakini sina tatizo na Diamond, hajawahi kunikosea. Kikubwa ni kwamba amekuwa ni mfano kwa wasanii upcoming kwasababu hata mimi nimemkuta kwenye muziki na ni mmoja wa wanamuziki ambao walikuwa wananivuta hata mimi kuwa achana na mambo ya bendi na kuwa solo artist.

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

.....


Powered by Blogger.

Translate

Total Pageviews

Copyright © HABARI ZA LEO | Designed By Code Nirvana