Hivi punde tumepokea habari ya kusikitisha na kushtusha, msanii wa Bongo Fleva @officialalikiba usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam, alivamiwa na kundi la watu wapatao 20 wanaodhaniwa kuwa ni majambazi. Watu hao waliokuwa na silaha za aina tofauti yakiwemo mapanga, visu na silaha za moto walifanikiwa kuvunja kuingia ndani na kuwadhuru baadhi ya ndugu wa Alikiba na kuiba mali na kila kitu ambacho waliweza kubeba, walimpiga na kumtesa mlinzi wa nyumba hiyo wakimtaka awaonyeshe alipo Alikiba, hata hivyo hawakufanikiwa kumpata na wakaondoka muda mfupi kabla ya polisi hawajafika nyumbani kwa staa huyo baada ya kupigiwa simu na majirani. Ikiwa utakuwa na taarifa zozote zitakazosaidia kupatikana kwa majambazi hao, unaweza kutoa taarifa katika kituo cha polisi ulicho karibu nacho. Endelea kufuatilia page hii kwa taarifa zaidi
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK
Get Free Email Updates to your Inbox!
Filed Under:
BONGO FLEVA,
BONGO MOVIES,
HABARI
on
CodeNirvana
Popular Posts
-
Baada ya mkuu wa jeshi la polisi nchini kuvipiga marufuku vyama vyote vya siasa kuwa na makundi ya kujihami katika vyama hivyo, CHADEMA wam...
-
A: Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya Ofisi ya Waziri Mkuu - TAMISEMI inatangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo...
-
UKAWA Washindwa Kuafikiana.......NCCR Mageuzi Yawasilisha Hoja Ya Kujitoa, CUF Watoa Masharti MazitoKIKAO cha viongozi wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimeshindwa kuendelea baada ya baadhi ya wajumbe kushindwa k...
-
Kina dada muogopeni mungu pia jioneeni huruma jamani mwanaume mwenye mapenzi na wewe kamwe hawezi hawezi kukuingilia uani hata siku moja n...
-
Umoja wa Vyama vya Madereva Nchini (UMDT), umefichua siri ya ajali zinazoendelea nchini kuwa zinatokana na shinikizo kutoka kwa waajiri...
-
Nivigumu kuamini! Bwana harusi Abasi Khamis Abdallah amejikuta akizimia zaidi ya mara tatu baada ya kubaini kuwa, bi harusi, Fatuma Salum O...
-
BOFYA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO KUANGALIA VIDEO BOFYA* HAPA*>>>>>
-
SHAKA! Familia ya ‘President’ wa Kruu ya Wasafi, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ imeamua kuweka kikao kummbana staa huyo aweke wazi kama ni...
Categories
BONGO FLEVA
(374)
BONGO MOVIES
(428)
BURUDANI
(470)
ELIMU
(117)
HABARI
(1547)
MAPENZI
(367)
SIASA
(524)
SKENDO
(577)
© Copyright 2015
TUANGAZE BONGO | Designed By Code Nirvana