Featured

    Featured Posts

JE, WAJUA UNAWEZA KUFANYA MAPENZI HATA MWANAMKE AKIWA SIKU ZAKE NA USIAPATE MADHARA??? SOMA HAPA


 
JE,UNAWEZAJE KUFANYA MAPENZI UKIWA MWEZINI/UKIWA KWENYE SIKU ZAKO AMA UKIWA UNATUMIKA....??NA JE SITAPATA MADHARA..???ni matumaini yangu kua umzima sana na unaendelea kuimalizia weeknd yako hapo ulipoukiwa na fuaraha tele!leo nimeona nizungumze huu ya jambo fupi sana na jambo lenyewe ni hili...shuka nalo mwenyewe!Kungonoka wakati wa Hedhi Kwa baadhi ya wanawake wakati unakaribia kupata siku zako, uko hedhini au umemaliza nyege huwa nyingi sana na za ajabu hivyo inakuwa ngumu kupitisha wiki nzima bila"huduma" na hivyo hulazimika kufanya mapenzi wakiwa hedhini.Natambua kuna watuwanaamini kuwa damu ya mwezi ni uchafu na vilevile kutokana na imani za dini.Kwanza unatakiwa kuondoa imani kuwa Damuya hedhi ni uchafu kwa vile sio uchafu, ni kweli huwa na harufu mbaya ikiwa hutobadilisha"nepi" yako kwa zaidi ya masaa 6. Unashauriwa kubadili kila baada ya masaa matatu na hakikisha unajiswafisha at least mara

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

.....


Powered by Blogger.

Translate

Total Pageviews

Copyright © HABARI ZA LEO | Designed By Code Nirvana