KIKOSI cha
Yanga leo kimeendelea kujifua kwenye Uwanja wa Karume Jijini Dar es
Salaam kwa ajili ya kujiwinda na michuano ya Kombe la Kagame
inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni.
Mazoezi hayo yalihudhuriwa na
wachezaji wachache kufuatia wengi kuwa mapumzikoni na wengine kuwa
kwenye vikosi vya timu ya taifa ile iliyokwenda kucheza na Rwanda hivi
karibuni na kikosi kingine kinachojiandaa kuvaana na Mafarao wa Misri
katika michuano ya Afcon.
(PICHA : RICHARD BUKOS /GPL)
Post a Comment