Bwana harusi Deogratias Mongela ambaye ni mwanahabari wa Kampuni ya Global Publishers Ltd.
Maharusi
hao (katikati) wakiwa na wapambe wao kwenye hafla hiyo. Kushoto ni
Cobson Nzige na mke wake Subira Nzige (kulia), 'hakika wamependeza si
mnawaona'.
Bibi harusi Elizabeth Sanga akiteta na mpambe wake Subira Nzige.
Mama mzazi wa Bwana harusi, Asia Kapori akiwahasa maharusi hao.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo (katikati),
akijumuika na wageni waalikwa kwenye hafla hiyo. Kushoto ni Mhariri,
Amrani Kaima na Oscar Ndauka wa kampuni hiyo.
Mama mzazi wa Deogratias, Asia Kapori akiwasalimia wageni mbalimbali kwenye sherehe hiyo.
Wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wageni waalikwa wakipata kinywaji kwenye hafla hiyo.

Mwanahabari Kulwa Mwaibale wa kampuni hiyo akiteta jambo na Bwana harusi.
Maharusi hao wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Mwanahabari Kulwa Mwaibale wa kampuni hiyo akiteta jambo na Bwana harusi.
Post a Comment