Featured

    Featured Posts

Exclusive,Picha,Kifahamu Kiatu wanachovaa mastaa Idris Sultan, Jux na Diamond Platnumz.

 
Kiatu kipya cha rapa Kanye Wesy kimeonekana kupendwa na mastaa wengi duniani, The Air Yeezy kimetokana na ushirikiano mkubwa wa rapper/producer Kanye West na kampuni ya vifaa vya michoze duniani ya Nike. Nike Air Yeezy ya kwanza ilitoka 2009 na ya pili Nike Air Yeezy 2 ilitoka 2012.
Kipya hichi ambacho ni collabo ya Addidas na Kanye West ni Yezzy 3 kimetoka mwanzoni mwa mwaka 2015 na gharama yake ni dola US $115.99 kwa Pair . Mastaa wa Bongo Jux, Idris na Diamond Platnumz ni miongoni mwa watu maarufu wanaovaa hichi kiatu.

dw 8


 @Official_JUX ,@IdrisSultan @DiamondPlatnum
dw 2 dw 3 dw 4 dw 5 dw
Pia bonyeza hapa ku Subscribe FahamuTv kuona interview Zingine. Asante Kwa Ushirikiano,Bonyeza hapa kumfahamu Zaidi Sammisago

Rafiki Na Shabiki Wangu, Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori Zote Kutoka Kwangu Instagram , Twitter Na Facebook

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

.....


Powered by Blogger.

Translate

Total Pageviews

Copyright © HABARI ZA LEO | Designed By Code Nirvana