Featured

    Featured Posts

‘Mahabusu’ Nyingine Kutoka Jerusalem Films,Wakali Kutoka Norway Ndani


‘Mahabusu’ Nyingine Kutoka Jerusalem Films,Wakali Kutoka Norway Ndani
Staa mkonhwe wa bongo movies , Jacob Stephen ambaye  ni mkurugenzi wa
kampuni yake inayojihusisha na utengenezaji wa filamu, Jerusalem Films Company amedokeza kuwa filamu inayokwenda kwa jina la MAHABUSU ndiyo kazi mpya inayofuata kuingia sokoni.
‘Mahabusu’ Nyingine Kutoka Jerusalem Films,Wakali Kutoka Norway Ndani 1
JB aliyasema hayo kupitia ukursa wake mtandaoni  ambapo aliweka picha hiyo hapo juu ya kasha la filamu hiyo na kuandika.
Kutoka Jerusalem films hii ndio inakuja.inaitwa MAHABUSU. Washiriki....unaikumbuka Regina unamkumbuka yule dada aliyecheza kama Regina.pia yupo marehemu Adam Kuambiana na Ben Kinyaia.pamoja na waigizaji nguli toka Norway....
Hajo juu ni picha ya Regina aliyetajwa humo.
Tuendelee kuisubiri.

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

.....


Powered by Blogger.

Translate

Total Pageviews

Copyright © HABARI ZA LEO | Designed By Code Nirvana