Featured

    Featured Posts

WANAUME MKITUMIA MBINU HII KUMTOA MSICHANA UBIKRA KAMWE HAWEZI PATA MAUMIVU


 

Habari zenu wapendwa, Last night nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa MDAU WETU WA KIKE,aliituma kama wiki moja iliyopita,aliniambia kuwa yeye bado ni bikira lakini kuna mtu ametokea kumpenda na anataka kupeana nae Raha na Utamu kwa mara ya kwanza katika Maisha yake. Kwa hiyo akaniuliza maswali mawili,swali la kwanza alikuwa anataka kujua jinsi ya kumridhisha boyfriend wake,alikuwa anataka kujua mambo muhimu kwa sababu hana experience, aliuliza Jinsi ya kupeana Raha na Utamu bila Maumivu kwa kuwa yeye bado bikira,so jibu lake ndio hii Post yenyewe.

Ingawa asilimia kubwa ya wanawake au wasichana,hupata maumivu pale wanapokuwa wanatolewa bikira zao,wapo ambao hawapati maumivu kabisa na pia wapo ambao hupata maumivu kidogo sana kulingana na hizo bikira wanatolewa na Mwanaume gani na huyo Mwanaume anajali(care) kiasi gani. 

Yapo Mambo ambayo ukifanya,kuna uwezekano mkubwa sana wa kutopata Maumivu wakati unatolewa bikira,na hata kama ukipata Maumivu basi yanakuwa kidogo sana tofauti na marafiki zako wa kike ambao kila siku wanakuambia kuwa inauma sana kitu ambacho sio kizuri kisaikolojia, kwani wanakuwa wanazidisha uoga Ndani ya akili na Nafsi yako,na ukiruhusu Uoga ukutawale then obviously lazima utaexperience the same pain kama wao(which you shouldnt coz tendo linaitwa Raha na Utamu,na sio Raha na Maumivu) 

Baadhi ya mambo inabidi afanye Mwanamke na mengine afanye Mwanaume,so itapendeza kama hii post msome wote,au soma peke ako kisha utamwambia kitu gani anatakiwa kufanya,mambo yenyewe ni kama ifuatavyo, 

1.JARIBU KUWA COMFORTABLE NA ASHKI ZAKO 
Wanawake/wasichana wengi wenye bikira wanakuwa hawana elimu ya kutosha kuhusu miili yao. Na kitendo cha kutojua kinajenga uoga na mwisho wake huo uoga unaongeza maumivu wakati wa kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza.(kisaikolojia)

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

.....


Powered by Blogger.

Translate

Total Pageviews

Copyright © HABARI ZA LEO | Designed By Code Nirvana