Featured

    Featured Posts

MVUA ZA MASIKA ZALETA MAAFA NA UHARIBIFU WA MALI NA MIUNDOMBINU ZANZIBAR



Michuzi Blog inatoa pole kwa wote waliofikwa na mafa na wote waliopoteza ama kuharibikiwa na mali zao na nyumba. Tunawaombea Mungu awape moyo wa Subira na nguvu kukabiliana na majanga haya - Ameen.




















Mvua zilizonyesha leo Zanzibar na kusababisha maruriko na kuwaweka watumiaji barabara kama inavyoonekana kwenye picha wakati mgumu. Waendesha ,agari nao wakipita kwa uangalifu mkubwa. Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji kutokana na mvua zilizonyesha leo Zanzibar. Nyumba zikiwa zimezingirwa na maji. Mitaro ikiwa imejaa maji kutokana na mvua iliyonyesha leo Zanzibar. Maji kila sehemu kama unavyoonekana kwenye picha. Wananchi wakitafakali jambo ya jinsi gani yakufanya baada ya mvua iliyonyesha Zanzibar leo kusababisha kuta za baadhi ya nyumba kumong'onyoka. Kuta iliyomong'onyoka kwa mvua zilizonyesha leo Zanzibar. Mwananchi akiweka kifusi kuokoa ukuta usimong;onyoke zaidi.
BOFYA HAPO JUU KWA KUPATA KUONA NAFASI ZA AJIRA ZA KILA SIKU, MTAARIFU NA MWINGINE

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI KUHUSU HABARI HII

KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU ...BASI BOFYA LIKE HAPO CHINI KUUNGANA NASI KWENYE FACEBOOK

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

.....


Powered by Blogger.

Translate

Total Pageviews

Copyright © HABARI ZA LEO | Designed By Code Nirvana