Admin hide my name , mimi ni kijana wa kitanzania nina mke na mtoto mmoja kwa muda wa miaka miliwili sasa nimekuwa nikisoma UK Deree yangu ya pili , kwa sasa nimemaliza nimerudi Tanzania , sasacha ajabu ambacho sikielewi ni kuwa kila nikikutana na mke wangu anataka nimwingilie
kinyume na maumbile..yaani sometimes anaipeleka mwenyewe huko sehemu
kwa siku kama mbili nimekuwa nafanya bila kujua imeingia huko...sasa
nimejua nimemkalisha kikao lakini haeleweka hajanipa jibu la maana paka
sasa...nahisi wakati mimi nipo uk kuna mtu alikuwa anamchezea sasa
imekuwa hawezi sikia raha mpaka afanye hivyo ..mimi ninajua madhara ya
huo mchezo siwezi kabisa kufanya kwa mke wangu ...swali linakuja hapa
sasa nisipomfanyia ina maana ataendelea na hao jamaa zake wanao mfanyia
...sasa sijui nifanyaje ..naomba ushauri wa kina hapa
Post a Comment