![]() |
| Hivi ndivyo kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi kilivyoonekana. |
![]() |
| Mdereva wa Hiece za kuelekea maeneo mbali mbali ya nje ya mji wa Moshi pia wameungana na madereva wengine kufanya mgomo huo. |
![]() |
| Madereva wa Noah pia walikuwa likizo. |
![]() |
| Hivi ndivyo ilivyokuwa kwa magari ya abiria baada ya madereva wa mabasi hayo kugomea kusafirisha abiria hadi pale serikali takapo sikiliza matatizo yao. |
![]() |
| Jeshi la Polisi lilikuwa likiranda huku na huko kuhakikisha hali ya usalama inakuwepo katika kituo hicho cha mabasi cha mjini Moshi/ |
![]() |
| Licha ya kwamba madereva walitagaza kufanya mgomo bado baadhi ya abiria walikatiwa tiketi wakitumaini kufanya safari. |
![]() |
| Abiria wakiwa wamekaa wasijue la kufanya baada ya kukosa usafiri wa kuelekea mikoa mbalimbali. |
![]() |
| Baadhi ya abiria wakiwa wamekaa kitako katika maegesho ya magari huku wakitizama Big Screen iliyopo jirani na kituo kikuu cha mabasi mjini Moshi. |
![]() |
| Baadhi ya abiria wakitizama kwa mbali screen hiyo. |
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Post a Comment