Featured

    Featured Posts

MASTAA WALIOHUDHURIA MPAMBANO WA KARNE KATI YA MAYWEATHER NA PACQUIAO



Beyonce na Jay Z wakifuatilia mpambano wa Floyd Mayweather na Manny Pacquiao.
Justin Bieber katika pozi na Floyd Mayweather kabla ya pambano lake dhidi ya Manny Pacquiao leo alfajiri.

Bondia wa zamani, Mike Tyson akiwa ndani ya Ukumbi wa MGM Grand jijini Las Vegas, Marekani.

Mwongoza filamu na mcheza filamu, Ben Affleck naye alikuwepo kufuatilia mpambano huo.

Lejendari wa mpira wa kikapu, Michael Jordan akiwa na mkewe Yvette Prieto ndani ya Ukumbi wa MGM Grand.

Mark Wahlberg (kulia) aliyekuwa anampa nafasi kubwa ya ushindi Manny Pacquiao akiwa na Fuqua pamoja na Gylenhaal kabla ya pambano kuanza.

Robert De Niro ambaye ni mpenzi mkubwa wa masumbwi akifuatilia pambano hilo.

Mcheza tennis maarufu, Andre Agassi akisubiri mpambano huo.

Mcheza fialamu Michael Keaton (kushoto) akipozi na lejendari wa ndondi, Sugar Ray Leonard (kulia).

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

.....


Powered by Blogger.

Translate

Total Pageviews

Copyright © HABARI ZA LEO | Designed By Code Nirvana