Featured

    Featured Posts

KUFUATIA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA, HALI ILIVYO KATIKA KITUO CHA MABASI CHA UBUNGO


Maji yakiwa yamejaa katika kituo cha mabasi yaendayo mikoani, Ubungo.
Kufuatia mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam, maeneo mengi yamekumbwa na mafuriko hususani katika barabara na kusababisha msururu wa magari yanayoshindwa kutembea kutokana na baadhi kuzimika au kuharibika.Miongoni mwa eneo lililokumbwa na hali hiyo ni kituo cha mabasi yaendayo mikoani,Ubungo.

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

.....


Powered by Blogger.

Translate

Total Pageviews

Copyright © HABARI ZA LEO | Designed By Code Nirvana