USIKU wa
kuamkia leo kulikuwa na bonge la shoo lililokuwa likienda kwa jina la
Gossip Night Party ndani ya ukumbi wa Bills uliopo Posta jijini Dar
es
Salaam, ambapo wasanii kibao wa muziki wa kizazi kipya walipata fursa ya
kufanya makamuzi huku wakitumia muda huo kumuenzi msanii mwenzao Albert
Mangwea ambaye alifariki miaka miwili iliyopita.
Wasanii waliopata fursa ya kufanya
makamuzi kwenye shoo hiyo ni pamoja na Godzillah, Baraka Da prince,
Abdul Kiba, Chid Benz, Shilole, Barnaba na wengine kibao.
Post a Comment