Featured

    Featured Posts

Msichana Aliyekutwa Mtupu Kitandani Kwa Chris Brown Kutokea Tunisia, Imani Yake Ni Chris Ni Mumewe!

 

Mwanamke aliyekamatwa nyumbani kwa Chris Brown baada ya kuvunja na kufanya uharibifu, anaamini kuwa ni mke wa staa huyo.
Kabla ya hapo, Amira Kodcia Ayeb alipost ujumbe mtandaoni kuwa yupo Malibu akitafuta nyumba yake. Msichana huyo mwenye miaka 21 kutoka nchini Tunisia, anasema jina lake la mwisho ni Brown.

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

.....


Powered by Blogger.

Translate

Total Pageviews

Copyright © HABARI ZA LEO | Designed By Code Nirvana