Wanaume
na wanawake walio wengi pindi wanapomaliza kufanya mambo yao na wapenzi
wao chumbani hujikuta wakikaa pembeni bila kuzingatia vitu muhimu
vinavyotakiwa kufanywa pindi wanapomaliza kusex.
VIFUATAVYO NI VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA PINDI UNAPOMALIZA TENDO NA MPENZI WAKO CHUMBANI:
1.
MFUTE FUTE MPENZI WAKO- Mpenzi msomaji faham kuwa unapokwenda kufanya
mapenzi na mpenzi wako hakikisha unakwenda ukiwa na kitambaa kisafi
(LESO) hiki kitambaa unakuwa nacho maalum kwa ajili ya kumfuta mpenzi
wako pindi mnapomaliza kufanya mapenzi. Hakikisha unapomaliza kusex na
mpenzi wako unamfuta jasho mwilini na pitisha kitambaa chako katika
sehemu zake za siri mfute fute taratibu mpenzi wako usikubali mpenzi wako ajifute yeye mwenyewe na usisubiri akuambie umfute.
2.
MUULIZE MPENZI WAKO KAMA KARIDHIKA AU BADO ANAHITAJI KUENDELEA: -
Wapenzi waliowengi wanapomaliza kufanya mapenzi huwa hawaulizani swali
kama hili wengi hujistukia na kuamua kuvaa nguo zao na kuondoka hili ni
kosa kubwa, siku zote katika mapenzi mwanaume huwah kufika kileleni
kuliko mwanamke hivyo mwanaume hujikuta ameisharidhika ikiwa mwanamke
hajaridhika hivyo nivizuri pindi unapojiona umeridhika muulize na mpenzi
wako kama nae karidhika akikuambia tayari basi mnaweza kuishia hapo au
akikwambia bado ni wajibu wako wewe kuendelea tena kufanya mapenzi mpaka
nayeye aridhike. Lakini kunatatizo moja hujitokeza sana kwa upande wa
wanawake wanawake walio wengi wanapoulizwa na wapenzi wao kama
wameridhika huwajibu wapenzi wao "Ndio nimeridhika" lakini kumbe bado
hawajaridhika. Napenda niwaambie wanawake wote wenye mtindo huu kuwa si
mzuri kuweni wakweli pindi unapoona hujaridhika usimfiche mpenzi wako
mwambie ukweli kwani ni haki yako kuridhishwa.
Post a Comment